Sunday, March 4, 2012

SIMBA DUME YAUNGURUMA LEO TAIFA, YAICHAPA KIYOVU YA RWANDA BAO 2-1:



Wachezaji wa Simba wakipiga jalamba kabla ya mechi kuanza.
Mashabiki.
Mashabiki wakizidi kuonesha mbwembwe zao.
Wanahabari wakipiga picha watu waliovaa vinyago vya mfano wa mnyama Simba.
Kikosi cha timu Simba.
Kikosi cha timu ya Kiyovu.
Mshambuliaji wa Simba akipiga pasi ya mwisho safi kabisa iliyozaa goli la kwanza.
 
Dakika ya 19 ya mchezo mshambuliaji wa Simba, Felix Sunzu, akitupia wavuni goli la kwanza baada ya kupokea pasi safi kutoka kwa mshambuliaji mwenza, Emmanuel Okwi (Balloteli).
Sunzu akishangilia moja ya magoli yake mawili aliyoifungia Simba leo.
Nahodha wa timu ya Simba Sc, Juma K Juma akiongoza jahazi la kushangilia baada ya mchezo kumalizika kwa ushindi wa 2-1 na hatimaye Simba kujihakikishia kusonga mbele katika kombe hili shirikisho. Simba Oyeeeeeeeeee.

No comments:

Post a Comment