Sunday, March 4, 2012

MAZOEZI KIDOGO:

 Tulianza hivi.


 Check one-two   one-two.
 Kama kawaida, kaka mzazi akiongoza jahazi.

 Mazoezi kwa mziki bana. 


 Kwenye Volleyball, Wekundu waliwashinda manjano kuwa ushindi wa seti 2-1.
 Ze DressCode - Caris alipiga Smash za akili sana kwenye hii gemu.
Dadaaa.
Mama Lydia.
 Hii ni Long Tenis.
Tukahamia kwenye soka.
 Kikundi cha waliovaa manjano walifungwa na kikundi cha waliovaa nyekundu magoli 5-2.
Kikundi cha waliovaa nyekundu, a.k.a washindi.
 Magoli ya wekundu yalifungwa na kaka mzazi-Kassimu,(wapili kutoka kulia-waliosimama), aliyefunga magoli 3 na mawili yalifungwa na Ze DressCode-Caris (wakwanza kutoka kulia-waliochuchumaa),  tukakamilisha kibarua chetu cha kipigo hicho takatifu.
Tukiwa tumechanganyika.



Hizi sasa ni skills/Vipaji binafsi:
 Kaka mzazi akionesha zile ball dribles.
 Mama Lydia, show wotch u gat mama.
 Luganoooo, nilifikiri kwenye Sterring Rod tu, kumbeee.
Mwakalinga akijipiga chenga.

No comments:

Post a Comment