Wednesday, May 4, 2011

SSEBO APATA JIKO,JIKO LA PEKE YAKE YEYE:

Ni sehemu tu ya matukio yaliyojiri ndani ya MovenPick hotel jijini Dar es salaam wakati mtangazaji maarufu nchini, Abdulhakim Busulwa a.k.a Ssebo na mkewe Tahjir Busulwa waliposherehekea harusi yako.

No comments:

Post a Comment