Sunday, March 11, 2012

KASHI KASHI ZA JANA TAIFA:

 Mwamuzi Israel Nkongo akikwepa konde la beki wa timu ya Yanga, Stephano Mwasika (wa nne kulia), wakati wa mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Azam iliyofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana. Wengine ni wachezaji wa Yanga waliokuwa wakimzuia Mwasika, ambapo kutoka kulia ni Shadrack Nsajigwa , Omega Seme na Nurdin Bakari. Kwa mbali Nadir Haroub ‘Cannavaro’ naye akizuiwa na Hamis Kiiza asimvae mwamuzi. Azam ilishinda mabao 3-1.Picha na Fadhili Akida

No comments:

Post a Comment