Sunday, March 11, 2012

HERE WE GO; CHUNGA YAKO BANA MAISHA YASHAPINDA HAYA:

Mkazi wa Dar es Salaam, Saidi Mustafa akiendesha baiskeli huku akiwa amembeba mtoto wake Bakari mgongoni kama alivyokutwa Kinondoni B, Dar es Salaam. Baadhi ya akinababa wanawajibika ipasavyo katika shughuli za familia tofauti na dhana iliyojengeka miongoni mwa jamii.

No comments:

Post a Comment