Thursday, February 23, 2012

WHAT MAKES HISTORY; I LOVE THIS:

Mwaka 1984: Baadhi ya wabunge wa bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania, enzi za mwalimu wakijiandaa kwenda bungeni mjini Dodoma kutoka mjini Dari salaama kwa kutumia usafiri wa basi la kampuni ya ya mabasi ya Pwani Tour Mwaka, wakiongozwa na naibu spika wa wakati huo, Chifu Kasusura, (Aliyesimama mlangoni) wakati akiagana na mwenyekiti wa kampuni hiyo ya mabasi, ndugu Babu Isaac.

No comments:

Post a Comment