Thursday, February 23, 2012

WACHINA HAWA WAWILI, WATUHUMIWA WA KESI YA 'SAMAKI WA MAGUFULI' WAHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 20 JELA:

Poleni sana ndugu zangu wa enzi za URAFIKI.
Adhabu ilikuwa ni kwenda jela miaka 20 au kulipa faini ya Tsh.Bilioni 21, wamemona ni bora kwenda kula dona jela. Daaah....., waaaleeeehh..!!

No comments:

Post a Comment