Tuesday, January 24, 2012
YALIYOTOKELEZEA KWENYE SHOO YA 'MKASI' NA KANUMBA:
Picha kidogo za pamoja zinazoonesha upendo na umoja,kushoto ni Dida,Me na Salama.
The great nikiingia....
Huku nikisafishwa kucha huku mahojiano yakiendelea ambapo nilitoa ushirikiano wa dhati.
Le presedar Nyoshi El Sadaat sauti ya simba nae alikuepo kutoka FM ACADEMIA.
Hapo akiniambia kuwa nayeye anataka kucheza movie ya kihistoria nchini.
Swahiba na mzee wa njaa mwenzangu A.Y nae alikuepo
Kwa pamoja tukafanikisha kipindi cha MKASI ambacho kitarushwa soon kaeni mkao wa kutizama maana nina muda sana sijafanya interview kama hizi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment