1: Inaitwa "I hate My Birthday" .
Kama kawaida ya kampuni yako ya ukweli RJ company wanakuletea mzigo mwingine wa kukatana na shoka , Wadau mzigo huu umetengenezwa kabla ya kusafiri ni si ya kuikosa wapo mastaa kibao wa Bongo Movie inatoka mwisho wa mwezi huu.
Ray (right) with friends discussing.
Mambo yakipamba moto.
Ray (right) and Aunt Ezekiel (left) before action.
Aunt Ezekiel.
Watu nao kwa kupiga simu wakati wa shooting mmmmmm.
Nikipambana na Aunt.
Crew participating to the maximum.
Vijana kazini.
Kama kawaida nikiwa na kijana wangu Msungu.
Peace for Everyone.
Ray The Greatest receiving messages.
Dada wa make up akifanya kazi.
Jack Pentezel au mwenyewe upenda kujiita Jack sex.
Kama kawaida mapambano yakiendelea.
2: Inaitwa "Wrong Shortcut";
Wadau wa filamu za RJ company tuna stock ya kutosha huu ni mzigo mwingine amabao nao tuliutengeneza kabla ya safari yangu, Kama mnakumbuka wadau wa tasnia hii niliwaambia kuwa katika mzigo huu sitokuwepo nimewaachia vijana wafanye kazi nami nikiwa nyuma yao kama Director.
Wakisikiliza maelekezo.
Kitu poda..
Hemed (kulia) na Kajala Masanja pamoja na camera man wangu Farid Uwezo.
Picha ya pamoja
Hemed akipata maelekezo kabla ya mtanange kuanza.
Kazi Ipooooooo....Choka mbaya.
On Set.
Kajala Masanja pamoja na Jack Pentezel
Johari (kushoto) na Ray wakijaribu kukalili Script kabla ya kazi kuanza
Mambo yakiendelea
Kazi imeanza
Dada Zabibu huyu ni msanii wa zamani sana nilikuwanae kwenye kundi la Kaole naye yupo ndani ya mzugo huu.
Mkongwe mzee Chilo naye yuko ndani ya nyumba
Hemed akiwa na Johari-----Peace
Kama kawaida watu wakiwa bize na kazi
Joto limezidi
Johari na mwanya huo jamani
Kwa karibu bibie akiwa katika pozi
Hapo mnasemaje?
Hatari sana watu wako makini na kazi
Poooooooooozi
Mapouuuuuuuuuuuda
Blandina Chagula
Hapo je?
Ofisini kabla ya kazi kuanza sijui dada anawaza nini?
Hemed mzee wa watotooooozi
Kajala Masanja
Jack Pentezel.
Hongereni sana hakika hii movie imekonga nyoyo za wengi, make mimi mwenyewe imenifundisha kitu hapo, Hongera sana Aunt Ez, umeitendea haki kabisa hii filamu. One Love
ReplyDelete