Saturday, December 31, 2011

RAIS KIKWETE AMUAPISHA BALOZI SEFUE KUWA KATIBU MKUU KIONGOZI IKULU LEO:

Rais Jakaya Kikwete akimuapisha rasmi Balozi Ombeni Yohana Sefue kuwa katibu mkuu kiongozi baada ya katibu mkuu kiongozi mstaafu, Philemon Luhanjo, kumaliza kuda wake. Hafla hiyo ya kumuapisha balozi Sefue imefanyika leo Ikulu jijini Dar es salaam. Wapili kushoto kwa Rais ni katibu mkuu kiongozi mstaafu, Philemon Luhanjo.
 
Katibu mkuu kiongozi, Philemon Luhanjo, akikabidhi nyaraka za serikali pamoja na bibilia kwa katibu mkuu kiongozi mpya, Ombeni Yohana Sefue. Habari na Picha zaidi: Bonyeza Hapa:

No comments:

Post a Comment