Sunday, June 26, 2011

SHAMRA SHAMRA ZA UZINDUZI WA FIESTA 2011 JIJNI MWANZA:

Kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 10 ya msimu wa Fiesta, inaanzia Mwanza. Ndani ya CCM Kirumba palikuwa hapatoshi jioni ya leo wakati wakazi wa jiji hili waliposhea shamra shamra hizo na wasaniii mbalimbali wa Tanzania pamoja na gwiji la kimataifa la miondoko ya Ragga, Reggae and Dancehall, mjamaika, Shaggy.

Steji ilikiwa ikionekana hivi.

Sise Madini, msanii chipukizi kutoka Mwanza.

Makomando kutoka THT wakiwa stejini.
Rachel akikumbatiwa na mcheza shoo wake.
Linah.

Sajna.

Sajan na Linah.

Sajna na Josefly wakiimba wimbo wa 'mganga'.

Kutoka Clouds Tv na Clouds FM Radio, kushoto ni P.Diddy, kulia ni Raymond wakiwa na mshikaji wao.

Marafiki kutoka pande zote walikuwepo.

Madencer hao kutokea pande hizi za Mwanza.


Barnaba.

Watu wote walikuwa wamekaa kabla ya Mwana AF kupanda stejini.

Kama hivi yaani.

 Kama kawaida, kwenye msafara wa mamba na kenge pia wamo, fanya kazi yako askari.

Mwana FA stejini, alibadilisha utulivu wa watu wote ndani ya Kirumba.


Kila mtu alisimama na kushangilia kwa kadri alivyoweza.

Mchomvu akimkalibisha Chidi Benz stejini.

Chidi Benz stejini.


Mwasiti.

Chidi Benzi akifanya kollabo na Mwasiti wakiimba "Hao".

Msela alipata shavu la kuchea na Mwasiti.

Diamond na wachezaji wake.


Mataluma.

Godzila.


Profesa J.


Ilibidi Mwana FA aje stejini kumpa tafu baada Profesa kukwama kwama kwa sauti yake.

Nadhani Fid Q ni shabiki mkubwa wa timu ya soka ya Simba, cheki mavazi yake.

Fid Q akiwa na Chepe.


Fid Q aliwakaribisha stejini wasanii wote waliopafum jana kwa ajili ya kukumbuka kifo cha aliyekuwa mtangazaji wa radio clouds FM na mbunge wa viti maalum, marehemu Amina Chifupa, kwa kuwa tarehe kama hii mwaka 2007 Amina alifariki dunia.

Wasanii wote stejini.
Mshindi wa Fiesta Freestyle 2011, mkali toka Mbeya, Raymond akithibitisha ukali wake mbele ya wakazi wa jiji laMwanza.

Freestyle battle ikiendelea kati ya Raymond na wakali wengine toka Mwanza.



Aaahhh.., Shaggy Shaggy.


 Sana tu mwanawane, ruka kama mmasai.

 Waimbaji wa Shaggy.

Mzuka ukipanda zaidi inabidi utoe shati.

Hii inaitwa sign of welcome Shaggy to Mwanza.

Baada ya shoo ni mapumziko back stage.
Kama ilivyoada, Caris - Mr.Everything, lazima ni Sign out.

Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click 'Post comment'.

6 comments: