Wednesday, November 23, 2011

WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI, PROFESA ANNA TIBAIJUKA: TUMESHINDA HUKUMU YA RUFANI YA KIWANJA CHA OYSTERBAY KILICHOKUWA KIKIMILIKIWA NA KAMPUNI YA KAHAMA GOLD MINING:

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, akizungumza na waandishi wa habari, Idara ya Habari, Maelezo, Dar es Salaam jana, kuhusu ushindi wa hukumu ya rufani ya kiwanja cha Oysterbay kilichokuwa kikimilikiwa na Kampuni ya Kahama Gold Mining,iliyotolewa na Mahakama ya Rufaa jijini juzi. Katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Patrick Rutabanzibwa.

No comments:

Post a Comment