Monday, November 21, 2011

UKWELI TOKA MOYONI; BINAFSI NAWAKUBALI SANA HAWA JAMAA:


LMFAO Sky lu and Redfoo; hapa walikuwa katika sherehe za tuzo za American Music Awards 2011 zilizofanyika The Nokia Theatre LA, live. Mastaa wengine waliokuwepo katika usiku huo ni pamoja na:
They might still be teenagers, but pop-singer couple Selena Gomez and Justin Bieber looked all grown up in their glamorous ensembles. Well, except for The Biebs' high-top sneakers, of course.

American Idol" alum and Oscar winner Jennifer Hudson showed off her newly slimmed-down figure in a metallic mini and sparkling platform heels upon arriving at the 2011 American Music Awards held at the Nokia Theatre L.A. Live. The "Where You At" singer was tapped to serve as one of the evening's presenters. (11/20/2011).
Unamkumbuka huyu jamaa..? Alishiriki katika kutengeza (Production) na kutupia vokali katika moja ya ngoma kaali ya Usher Raymond iliyowahi kusumbua sana mwaka 2004-2005-2006 na pengine mpaka sasa ikipigwa katika kumbi mbalimbali za kukesha mabrazaa huwa wanasheki kinoma noma yaani. Ngoma hiyo inapatikana katika albamu iliyopewa jina la Confession na ngoma yenyewe inaitwa YEAH, na mkali pichani ni Rapper Lil Jon (Jonathan) ambapo posion ya kurap katika ngoma hiyo alioneshana ubabe na mkali mwingine kutoka DTP, LudaaaCriss huku zile Soft vocal na Upgraded Break dance zikihitimishwa na mwenye ujuzi na uwezo huo, The all time dancer, Usher Raymond. Sana tu.

No comments:

Post a Comment