Monday, November 21, 2011

CPU; FILAMU YA KITANZANIA YENYE UBORA WA HALI YA JUU KUONESHWA MLIMANI CITY

Wakati tukielekea kusheherekea miaka 50 ya uhuru wetu, ni wakati wako wa kuburudika, kufurahia na kuelimika na filamu bora kabisa ya C.P.U. Filamu hiyo iliyotengenezwa na kampuni ya Haak Neel Production kwa kushirikiana na kampuni ya Wegos works zote za jijini Dar es salaam ni filamu ya kipekee na ni filamu ya kwanza ya kibongo kushirikisha wataalamu wengi katika tasnia ya filamu.

No comments:

Post a Comment