Monday, November 14, 2011

RAPA T.I KUJA NA REALITY SHOW NA FAMILIA YAKE:

Rapper T.I baada ya kutumikia kifungo cha miezi 11 jela, anasema sasa ni wakati wa familia.Ni wakati wa yeye kujumuika na familia yake ili kulipizia muda alioupoteza akiwa rupango. Katika kufanya hilo T.I na mke wake Tameka “Tiny” Cottle wamezialika kamera za VH1 kufuatilia mchakato huo  katika reality show mpya inayokwenda kwa jina “T.I. & Tiny: The Family Hustle.”
T.I baba,mfanyabiashara,Rapper na baba wa watoto sita (King, Domani, Zonique, Messiah, Deyjah, and Major) anasema katika reality show hiyo mashabiki wake wataona mengi ambayo hajawahi kuyafungua siku za nyuma.Itaanza kurushwa hewani tarehe 5 December saa 3 usiku kwa saa za Mashariki Marekani. Kazi kwenu wapenzi wa reality shows.

No comments:

Post a Comment