Wednesday, November 16, 2011

MUENDELEZO WA ZIARA YA RAIS WA ZANZIBAR, DK ALI SHEIN, HUKO SHARJA:

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akiwa na ujumbe wake wakiongozana na Meneja Mkuu wa Ofisi ya kiongozi wa Sharjah,Dr.Sultan Mohammed Al Qasimi,Sheikh Salim Bin Abdulrahman Al Qasimi,(kulia kwa Rais), wakielekea katika jumba la sanaa na uchoraji katika Mji wa Sharjah .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akiwa na ujumbe wake wakiongozana na Meneja Mkuu wa Ofisi ya kiongozi wa Sharjah,Dr.Sultan Mohammed Al Qasimi,Sheikh Salim Bin Abdulrahman Al Qasimi,(wa pili kushoto) wakielekea katika jumba la sanaa na uchoraji katika Mji wa Sharjah .Picha na Ramadhan Othman-ikulu, Zanzibar.

No comments:

Post a Comment