Monday, November 14, 2011

SHERIA NGOWI ANYAKUA TUNZO MBILI - SWAHILI FASHION WEEK AWARDS:

Mbunifu wa Mavazi wa Kimataifa Sheria Ngowi (Kulia) akitazama na Bibie Kiki Kwa Makini Tuzo Mbili alizoshinda kutoka Swahili Fashion Week Awards 2011 Jijini Dar es Salaam Juzi.Sheria alishinda Menswear Designer of the Year na Souther Sun Best Fashion Blog of the Year
Mbunifu wa Kimataifa wa mavazi Sheria Ngowi.
Mbunifu wa Kimataifa wa mavazi Sheria Ngowi akipokea tuzo yake ya Menswear Designer of the Year ndani ya swahili Fashion Week Awards Jijini Dar es Salaam. Kwa Maelezo zaidi Kuhusu Sheria Ngowi Nenda:

No comments:

Post a Comment