Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama akimlaki Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Kikomunisti cha China(CPC) Liu Yunshan ambaye pia ni Mjumbe wa Sekretarieti ya Kamati Kuu na Mkuu wa Idara ya Uenezi ya chama hicho, alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, kwa ajili ya siku tatu hapa nchini kwa mwaliko wa CCM.
Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama akimtambulisha Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) Liu Yunshan ambaye pia ni Mjumbe wa Sekretarieti ya Kamati Kuu na Mkuu wa Idara ya Uenezi ya chama hicho kwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenerzi Nape Nnauye, alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, kwa ajili ya siku tatu hapa nchini kwa mwaliko wa CCM. Kulia ni Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha CCM, Mwigulu Nchemba
Katibu Mkuu wa CCM, Mukama, Nape na Mwigulu wakiwa na Liu (kulia) kabla ya kuondoka Uwanja wa Ndege wa JN baada ya mgeni huyo kuwasili.
No comments:
Post a Comment