Friday, November 11, 2011

MBEYA KIMENUKA; SOKONI MWANJELWA:

Watu Mbali Mbali wakiwa wanakimbia ili kujiokoa na Hatari katika eneo hilo.
Baadhi ya wananchi wakiwa wameokoka katika eneo hilo.
Wamachinga wakiwa Tayali kwa ajili ya Kupambana na FFU wakati wa tukio hilo.
Wamachinga Mbali mbali wakikimbia katika eneo la tukio wakati wa machafuko hayo yamepamba moto.
Polisi wakijalibu Kuzuia Ghasia katika eneo hilo na kufukuza Wamachinga.

No comments:

Post a Comment