Monday, October 31, 2011

WAKAZI WA MISUGUSUGU KIBAHA MKOANI PWANI KATIKA BARABARA YA MOROGORO WAKIKATA CHUMA CHAKAVU KATIKA MABAKI YA BASI LILILOWAKA MOTO:

Wakazi wa Misugusugu Kibaha mkoani Pwani katika Barabara ya Morogoro wakikata chuma chakavu katika mabaki ya basi la Deluxe ambalo lilipinduka na kuwaka moto na kupoteza maisha ya watu 12.

No comments:

Post a Comment