Monday, October 31, 2011

VODACOM MISS TANZANIA 2011 AKIWA UGHAIBUNI KATIKA MUENDELEZO WA FAINALI ZA KUMTAFUTA MISS WORLD 2011:

Miss Vodacom Tanzania 2011 Salha Israel wa Pili kutoka kulia akiwa anapiga Chiazi  na wenzake .. katika safari  ya kuelekea kumtafuta Mrembo wa Dunia.
Miss Vodacom Tanzania 2011 Salha Israel wa Kumi kutoka kulia akiwa na wenzake katika Dina la nguvu Huko Scottish maeneo ya Scottish Hydro.
Hapa Miss Vodacom Tanzania 2011 Salha Israel wa kwanza kushoto akiwa katika Vazi la Ufukweni na Wenzake katika maonesho ya Mavazi hayo hapo jana.

Miss Vodacom Tanzania 2011 Salha Israel wa kwanza kushoto aliye simama akiwa katika picha ya pamoja na wenzake.
Picha zaidi bonyeza:http://www.fredynjeje.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment