Sunday, October 30, 2011

"MIKOKO" MIPYA MIPYA YA RAY NA KANUMBA, NANI 'KATISHA' ZAIDI ??:

Mkoko wa Ray:


"Wadau nawashukuru sana kwa kuweza kunipa ushauri na kuniunga mkono kwenye kazi zangu na kufika hapa nilipo huu ni usafiri wangu mpya hii yote ni nyinyi wadau kwa kuweza kununua kazi zangu original na sio feki nawashukuru sana na pia namshukuru Mungu wangu maana yeye ndiye kila kitu waandishi sio scandle tu na mafanikio pia muyaandike". Vincent 'Ray' Kigosi.

Mkoko wa Kanumba:



"THIS IS IT......MY NEW NEW BRAAAAAAAAAAND CAR.....IT'S LAND CRUISER-LEXUS-V8 a.k.a millioni 78,..THIS IS IT.

 SHUKRANI ZANGU ZA DHATI KWENU MASHABIKI WANGU WA KWELI NA WENYE UZALENDO NA KAZI ZA WASANII WA NYUMBANI, MFALME WETU WA MBINGU NA DUNIA JEHOVA AZIDI KUTUBARIKI,KUTUONGOZA NA KUTUSIMAMIA, HEKIMA NA MAARIFA ISITUPUNGUKIE HASA TULIO WAKE MAANA KATUAHIDI KUWA VINARA NA SI MKIA" Steven Kanumba..
Nani 'katisha' zaidi kati yao..??

No comments:

Post a Comment