Sunday, October 9, 2011

PICHA ZAIDI KATIKA SENDOFF YA DADA BALEKELE DIVYERE:



Aaah..!! Kaka mzazi, kulia kabisa upande wa wazazi wa bwana harusi mtarajiwa.

Feel the pleasure of being seated at the reserved seats. Heshima kwao.
Upande wa Bi. harusi mtarajiwa.
 Kitu cha keki looh..!! Mpaka mate yananitoka.
Bale akiwa ameshika kisu cha kukatia keki.


 Keki ikipelekwa kwa upande wa wazazi wa bi harusi.

Keki kwa wakwe.
Mkono wa heshima.
 Wakati wa kufungua shampeni.

Shampeni yaanza kugawiwa


Kwenye kiti cha enzi.

 Dada akiwaserebusha watu kwa nyimbo za injili alizokuwa akiimba ukumbini hapo.
Watu wakiserebuka, na katoto nacho kamo ingawa kadi za mwaliko zilionesha watoto kutoruhusiwa ukumbini.


 Raia kibao pale kaaaaaaaaaaaati.
Daah..!!!, Hapa sasa sisemi kitu, meza hii si mchezo...
 Kala B.
A.k.a jeshi la mtu mmoja (One man army) a.k.a Steringi yeye adui yeye.
Raiaz.
 Mlidhani sipo eeh..!!, Nipo kama kawa. Caris ze blogger.
Masindeee ndugu yangu.
 Raia mbalimbali wakitoa na kupokea zawadi.
Mageta.

Zawadiiiiiii.

Zawadi kutoka kwa wafanyakazi wa BOT

 Tinah Makatu, mama shughuli.
Kitu cha mduara pale kaaaaati.

Picha ya pamoja ya Bi harusi mtarajiwa na wafanyakazi wenzake wa benki kuu ya Tanzania (BOT).

Msosi msisimko na...

No comments:

Post a Comment