Tuesday, October 11, 2011

Katibu wa chadema wilaya ya Iringa vijijini Felix Nyondo akimkaribisha mbunge Chiku Abwao jana.

CHADEMA cha demokrasia na maendeleo(chadema) wilaya ya Iringa vijijini kimeanza kukibomoa chama cha mapinduzi(CCM)baada ya aliyekuwa mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi kata ya Luhota na mjumbe wa kamati ya utekelezaji CCM wilaya ya Iringa vijijini Sihuna Kapalampya kuhamia Chadema na kuwa mwenyekiti mpya wa Chadema kata ya Luhota.

No comments:

Post a Comment