Thursday, September 1, 2011

WAISLAM TOKA MAENEO MBALIMBALI NCHINI TANZANIA WALIVYOSHIRIKI KATIKA IBADA YA SIKUKUU YA EID EL FITR :

Rais Kikwete aliposhiriki swala ya Eid El Fitr hapo jana katika msikiti wa kichangani, Magomeni Mapipa jijini Dar es salaam.
Baadhi ya waumini wa dini ya kiislam waliohudhuria ibada ya sikukuu ya Eid El Fitr hapo jana katika msikiti wa kichangani, Magomeni Mapipa jijini Dar es salaam.
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk Ali Mohamed Shein,akiwahutubia wananchi na waislamu katika baraza la Iddi el Fitri lililofanyika huko ukumbi wa Salama hall Bwawani Hotel mjini Zanzibar.

Baadhi ya kinamama waliohudhuria swala ya Eid Elfitri huko katika kiwanja cha Maisara mjini Zanzibar.
Wananchi mbalimbali wa Zanzibar wakisikiliza hotuba ya Eid Elfitri baada ya kumaliza kuswali swala ya Idi huko katika kiwanja cha maisara zanzibar.

No comments:

Post a Comment