Monday, September 5, 2011

STAR MWINGINE BONGO AUKACHA UKAPERA;NI JOYCE KIRIA NKONGO:

Bwana harusi Henry Joseph akila kiapo cha ndoa mbele ya wageni waalikwa mbali mbali waliofika kwenye hafla hiyo iliyofanyika katika hoteli ya Atrium, Sinza jijini Dar es salaam. Kulia kwake ni bi harusi, Joyce Kiria akisikiliza kiapo hicho kwa makini.
  
Zamu ya bi harusi sasa, bi Joyce Kiria naye akila kiapo.
 
Mvishe pete.
Nawe mvishe.
Pokea cheti kwanza.
Aah..Aah..!!
Wanandoa.
Wapambe wa maharusi. Kulia ni Mh. Godbless Lema, mbunge wa Arusha mjini (CHADEMA).


Kiria akiwa na raia kibao waliohudhuria sherehe hiyo.

No comments:

Post a Comment