Sunday, September 4, 2011

DJ VENTURE ALIVYO AWAKA WAKA ALIPOKUWA ANAUWAGA UKAPERA:

Bonaventura Kilosa al-maarufu kama "Dj Venture" wa Clouds Media Group akila kiapo kiapo cha ndoa jana katika kanisa la mtakatifu Martha lililopo maeneo ya mikocheni B jijini Dar es salaam.
Dj Venture akitia saini kwenye kitabu cha ndoa.
Na mkewe nae akitia saini kuashiria ndoa imefungwa huku mumewe, Dj Venture, akimwangalia kwa makini asije akakosea bure.
Vyeti vyao vya ndoa.
Maharusi na wapambe wao.
Picha ya pamoja na watu wote.

No comments:

Post a Comment