Sunday, September 4, 2011

BAADA YA KANISANI, SHANGWE ZIKAHAMIA HYATT REGENCY HOTEL, DJ VENTURE NA MKEWE BERNADINA WALIVYO WAKAWAKA:

Bonaventura Kilosa al-maarufu kama Dj Venture wa Clouds Fm Radio, na mkewe Bernadina Shirima wakipeana zile "Lollipos" za ulimi katika sherehe ya ndoa yao, katika hoteli ya Hyatt Regency zamani ikiitwa Kilimanjaro Hotel Kempinski.
Wacha wee.
Keki ikikatwa.
Shopping ya tumbo hiyoooo.
Wanyamwezii, kama "wamedondoka" toka mbele vile, wakiongozwa na Kelvin Twissa (Kulia).
 
Ofcourse ni mtoto wa Kinondoni, TID akiinyanyasa Microphone.
Dj Peter Mo (Kushoto) wa Clouds FM.
Totozi...
Aiiiiyy, sana tu.
Kila mtu na demu wake, kila mtu na demu wake.
Daahh..!! Mnyamwezi huyu kwa kuuchuna bana..!!
Ulidhani atakosekana, yupooo. Make sharaz Gadna G.
Bila shaka unawajua hawa ma-comic stars.
Wanyamwezi kibaoooo, hadi Ncha kali (Kulia) leo katinga suti na tai.
Paul James PJ (Katikati) wa Clouds Fm Radio na Clouds Tv, wengine mnawajua bana, so I better stop that spoonfeeding guys, just strike your head.
Hope hapa unawaona sawa sawa, au vipi? PJ na FA.
Totozi zingine hizi kutoka THT

Kwaya.
Waleeeeee wanakwenda kwenye Honeymoon kuhanemunika.

No comments:

Post a Comment