Monday, September 5, 2011

MSHINDI WA VODACOM MISS TANZANIA 2011 KUNYANYUA JEEP LA THAMANI YA TSH.72M

Pichani ni gari ambalo mshindi wa miss Tanzania 2011 atalinyakua.
Ni gari aina ya 2011 Jeep Patriot yenye thamani ya Tsh. Milioni 72. Katika fainali ya shindano hilo kiingilio kitakuwa ni Tsh. 100,000/- kwa kila kichwa.
Ngoja nikabidhi funguo.
Mwali akifunuliwa
Nani nimkabidhi funguooo....???,   Mimiiiii. (Lundenga akiwauliza washiriki wa Vodacom Miss Tanzania 2011).
Ngoja nipige nalo picha kwanza niweke kumbukumbu hata nikilikosa nisijute sana.

No comments:

Post a Comment