Tuesday, June 7, 2011

ALBAMU YA "LANGO" YA MERCY NYAGWASWA YAINGIA SOKONI:

Kava yote ya CD

 Baada ya uzinduzi uliofana wa "Lango", albamu ya kwanza ya dada Mercyjoy Paul Nyagwaswa, uliofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba, sasa albamu hiyo yaingia sokoni kwa kishindo.

 Picha ya mbele ya kava ya CD.

 Picha ya nyuma ya Kava ya CD

 Kava yote ya DVD

 Picha ya mbele ya kava ya DVD

Picha ya nyuma ya kava ya DVD

Pata nakala yako halisi (Original copy) kwa Tsh.10,000/= tu kwa DVD (Video) na Tsh.5,000/= tu kwa CD (Audio).

Mawasiliano:
(+255)715 362035 (Mercy Nyagwaswa).
(+255)763 121000 (Faith Nyagwaswa).
(+255)767 165501 (Caris Komba).

Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click 'Post comment'.

2 comments:

  1. nimeiona na kuisikia yote na nimeipenda sana dada mercy Mungu akutie nguvu kwa kazi ya bwana wetu yesu kristo ambaye ndiyo lango la mbinguni.....lango lango lango la mbinguni li wazi......let's get into the gate of heaven.

    ReplyDelete
  2. Hey..how can someoone mercy nyagwaswa's music/dvd..can you have a few on youtube under her name :)

    ReplyDelete