Thursday, December 27, 2012

CARIS CHOICE FILMS: THE MAKING OF A NEW MOVIE:

StandBy, Camera rolling, Action.

Yes, a cry for dad.
Only if i could turn back the hand of time, my dad was able to live again....It's a cry for dad, to be released soon.
Mlinzi Mahela kwa kaziii. Mtampata ndani ya Movie hii.



Mama katili, mama "muuaji".
Umetishajeee..!! Haha haha haha..
"Wee Mahela, ebu fungua geti haraka huko, mimi nina safari zangu", Maneno ya mama hayo.
Eenhee, haya sasa... mimi sijui nani ni nani.
Sir.Mahela...Making incredible shots.
Yap... You HEEEAAADDD....!!


Akila timing..
The BIG Boss.. Pande za TAMALI BEACH RESORT.






The knock out, action ya kugongwa na gari.

Baada ya kumgonga kwa bahati mbaya, wanampeleka hospitali.
Interview: "Tell us the xperience of being knocked, was it painful, hilarious, relaxing or still feeling dizzy". Hahaaa haaah haaah...!
Msosi at last.

Tulikuwa na mkubwa Hamidu, The CEO, MD, Big Boss, Owner wa ROCK TOWN Records-Studio iliyotengeneza track kali ya Hip Hop ya Kalla Jeremiah "Dear God". Kama hivi.. "Baba nakuja kwako kwa mara nyingine, ebu sikia hiki kilio changu kingine...Nachana sana ila promo wanapewa wengine, naijua bibilia zaidi ya kitabu kingine. Nililelewa na baba mwingine sababu baba yangu alikuwa bize na mademu wengine. Haaaah hahah, ni baadhi ya mistari ndani ya ngoma hiyo ya Kalla.

2 comments: