Monday, August 22, 2011

WABONGO WALIVYOSHINE KATIKA TUNZO ZA MZIKI ZA AFRIKA MASHARIKI (EAST AFRICA MUSIC AWARDS)

AY (katikati) akipokea tunzo yake, kulia ni B12 wa Clouds Fm.
Mwimba nyimbo za injili, Christina Shusho, akipokea tunzo yake (Best Female).
Mwakilishi wa bendi ya msondo ngoma, Roman Mng'ande, akipokea tunzo kwa niaba ya bendi yake. (Best Rhumba Group). Hafla ya utoaji wa tunzo hizo (East Africa Music Awards) ilifanyika juzi jumamosi, juni 20 2011, jijini Nairobi, Kenya.
Tunzo hizo za East Africa Music Awards

No comments:

Post a Comment