Monday, August 15, 2011

"RAIS WA MATEJA", LANGA, ALIPOZUNGUMZA NA 'NJIA PANDA' YA CLOUDS FM KUHUSU MADAWA YA KULEVYA:


Langa,enzi zake kabla hajawa teja.
Jumapili, August 14 2011, msanii wa Bongo Flava, Langa, alifanyiwa mahojiano katika kipindi cha "Njia panda" cha Clouds FM kuhusu utumiaji wa madawa ya kulevya, mapambano yaliyopo sasa katika kuyaacha na mikakati ya baadae ya kupambana na matumizi ya madawa ya kulevya kama harakati ya kuiokoa jamii ya Tanzania. Ili kusikiliza mahojiano hayo: Bonyeza Hapa:

No comments:

Post a Comment