Tuesday, August 16, 2011

MWASISI WA BONGO HIP HOP,SALEH JABIR ATUA BONGO:

Kutoka kushoto: Feruzi wa Daz Nundaz, Saleh Jabir na Blogger Michuzi. Saleh Jabir ambaye kwa sasa anaishi nchini Uingereza, amerudi nyumbani kwa mapumziko ya mwezi mmoja kwa ajili ya mfungo wa mwezi wa Ramadhani. Saleh Jabir ndiye mwasisi wa Bongo Hip Hop na Bongo flava kwa ujumla wake, yeye ndiye aliyekuwa wa kwanza kurap/kufanya hip hop kwa lugha ya Kiswahili kabla ya kuibuka kwa makundi mengine kama vile Kwanza Unit, Diplomatz n.k.
 
Once more, welcome back braza Saleh.

No comments:

Post a Comment