Tuesday, August 16, 2011

EWURA: KUPANDA KWA BEI YA MAFUTA NCHINI KUMEFUTWA UKOKOTOAJI WA KAWAIDA WA KILA WIKI:

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Haruna Masebu, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, kuhusu ufafanuzi wa jinsi wanavyokokotoa kila baada ya wiki mbili bei elekezi/kikomo cha mafuta ya petroli, dizeli na taa kwa kufuata soko la dunia na thamani ya shilingi kulinganisha na dola ya Marekeni. Kushoto ni Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa EWURA, Titus Kaguo.

No comments:

Post a Comment