Tuesday, August 30, 2011

HERE'S THE DEAL; SHANTE MOORE DROPS IN DAR TO GROOVE THE BONGOLESE ON EID EL FITR:

All the way from USA, the Old School Diva, Shante Moore, atafanya shoo kali ya pamoja katika tamasha lililobatizwa jina la "Soul Session" siku ya Eid Mosi (31 August 2011) katika ukumbi wa Movenpick Royal Palm Hotel. Sambamba na Shante Moore, kutoka nyumbani Tanzania watakuwepo pia Linah, Barnaba, Grace Matata, na Ben Paul. zaidi pitia pitia tangazo kwa juu hapo.

No comments:

Post a Comment