Friday, August 5, 2011

BENKI KUU YA TANZANIA-MWANZA YAZIDI KUNG'ARA KATIKA MAONESHO YA NANE NANE NDANI YA VIWANJA VYA NYAMONGOLO:

Kwenye msiba hapakosi matanga na kwenye pilika hapakosi mashada, karibu katika viwanja vya Nyamongolo, karibu Nane nane - Mwanza.
Ukifika tu utapata kuona kinachojiri.
Banda la Benki Kuu (BOT) katika viwanja vya Nyamongolo jijini Mwanza.


Ukifika hapa utasikia harufu ya Ankara tu.
 Mama Mnema

The One man Army, Kala B

 Dada Sakajinga.
Mwakalinga na Sakajinga.
 Mr. Bwaira.
Ully Mwaipopo.
Mwaipopo na nyoka.
Ully, nyoka wana wenyewe bana.
Dj wa banda la BOT.



Mwaipopo akiwa na staff wengine wa B.O.T
Picha zote na Ully Mwaipopo.

2 comments: