Wednesday, May 11, 2011

THE MOST WANTED IN TOWN - NI PAMBA NYEPESI TU:

Ni duka la nguo, linapatikana Uhuru Road karibu na Lavena Supermarket - jijini Mwanza.

 Mzee wa Pamba nyepesi akituonesha mali kweli, shkopaaz.

 Sana tu.

 Jeans na Cadet kwa chini.

 Kwa ma bi shosti, mpooo.


 Mixed Grills.

 Ma planets, Ma T shirts.

 Mashati kwa watanashati pamoja na Cadets, aaiih, ndo zeetu.

Sogea pande za ndongaz sasa, nimekuonjesha kidooogo tu.

 Jivute vute mzazi uje ubebe za ukwee, Raba kali.

Aaah..!!, mtoto Caris wee utadhani umezaliwa ukiwa na nguo, ulivyotupia basi. Hii ni majaribio ya moja ya ukweli ndani ya Pamba Nyepesi Shop. Kariiibu sana Raia uje ung'ae kama nilivyong'arishwa mimi.
Photos by: Caris and Kefa.

Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click Post comment.

2 comments:

  1. Ayaa.....hayo ni mambo mazuri meeen twaja kitaa kile cha uhuru lavena

    ReplyDelete