Friday, October 7, 2011

HAPPY BIRTHDAY JK; 1950-2011:

Rais Jakaya Kikwete.

Leo ni siku ya kuzaliwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk. Jakaya Mrisho Kikwete.
From the Management of Caris Blogspot-The Caris Page to the President of the United Republic Tanzania, Hon Dr. Mrisho Jakaya Kikwete, Happy Birthday to you. We wish you all the best.

1 comment:

  1. hongera kwa kuzaliwa siku ya leo na uishi milele kiongozi wetu ila sijajua siku kama ya leo umewaenzi vipi wale uliozaliwa nao na waliozaliwa leo maana wengine wamezaliwa vichakani na hawana huduma ya zahanati na wakunga wakutosha,hawana maji,hawana umeme,hawana chakula,ok taabika nao with happy birthday.

    ReplyDelete