Monday, July 25, 2011

KANUMBA AGAIN;SCENE ZA MWISHO MWISHO ZA 'DEVIL KINGDOM' :


"Hii ni movie inayoingia katika historia yangu ya movie niliyowaikushoot kwa mda mrefu kuliko zote nilizowaikushoot,ni movie iliyoshirikisha washiriki wengi main na extras kuliko movie yoyote niliyowaikushoot au zilizowahi kutengenezwa hapa bongo maana ni zaidi ya washiriki mia mbili, ni movie iliyohitaji vifaa vya ziada katika shooting, lakini hata mfuko kidogo dah umetumika...sokoni mwezi ujao....DEVIL KINGDOM".  Alisema Kanumba, The Great.


Hizi zote ni scene za kanisani.
Washiriki katika scene.
Cheki kama nanii vilee.

Inaitwa Toba ya kweli.

Kazi ni kazi bana.
Kipaji toka moyoni.
Ng'arisha babu. 
NB: Kwa mujibu wa Kanumba, Movie hii inatarajiwa kuingia sokoni mwezi ujao, wa nane.

No comments:

Post a Comment