Tuesday, July 26, 2011

KUNANI KULEEEE TAANGA, ILIVYOHAPPEN FIESTA 2011:

Nyomi ya watu ilijitokeza katika uwanja wa mkwakwani jijini Tanga kuFiestika pamoja siku ya jumapili tarehe 24 july 2011.


Aah mabinti wa kitanga jamaaani.
Prof Jeezy.

Prof Jeezy na Dyana.
Kundi zima la Tip Top Connection likiwaFiestisha wakaazi wa Tanga katika uwanja wa soka wa mkwakwani.
Mwambaa
Hii ni backstage, kutoka kushoto: Prof Jeezy, Jeff Msangi wa Bongo Celebrity na mtoto wa kitanga Mwana FA.
FA stejini.

Ali K for Real.
Belle 9.

Mzee wa mauno, Bob Junior na madensa wake.
The Sharobaros' Godfather, Bob Junior.
Linex na moyo wake wa subira.
Linex na mama Halima wee.
Ben Paul.
Beka wa THT.
Top C akiwa na shosti wake Queen.
Rachel wa THT
Rachel akidakwa dakwa.
Wengi nimekutajia majina yao, Je, unamjua huyu?
Na huyu je..?

Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This isoptional)) THEN Click 'Post comment'.

No comments:

Post a Comment