Sunday, July 17, 2011

KUVUNJIKA KWA KOLEO SIO MWISHO WA UJENZI, KANUMBA CONTINUES WITH FINAL SHOTS FOR HIS "DEVIL KINGDOM":


Kanumba na Bi Mwenda katika scene.
Pamoja na kuagana na mkali wa movie kutoka Nigeria, Ramsey Nouah, na hatimaye kurudi kwao, mkali wa Bongo movie, Steven Kanumba, aendelea na upigaji picha wa vipande (Scene) vilivyobaki vya movie yake hiyo inayokwenda kwa jina la Devil Kingdom ambayo amempa 'shavu' mkali huyo kutoka Nigeria, Ramsey Nouah. (Zamani nilikuwa namwita Valentine kutokana na kuitwa jina hilo katika movie moja aliyoicheza siku nyingi kidogo iliyopewa jina hilo hilo.)
Kazi inaendelea, location.

Kanumba na mutoto muzuri Kajala Masanja (Star wa movie hio aliyecheza nafasi nyingi na Ramsey kama demu wake).

Kila mtu na lake, mwingine gazeti, mwingine simu, mwingine script.

Hayaaa....???
Sana tu.
Wanyamwezi vitani.
Watoto nao hawako nyuma. "Nataka kuwa kama Jenipher, nataka kuwa kama Jenipher wa Uncle JJ"Gari ikipigwa picha.

Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click 'Post comment'.

No comments:

Post a Comment