Saturday, July 16, 2011

SERENGETI FIESTA 2011 INAVYOENDELEA USIKU HUU MO TOWN (MOSHI):

Sehemu tu ya umati wa mashabiki wa tamasha la fiesta na mziki kwa ujumla waliojitokeza usiku wa leo katika viwanja vya chuo cha ushirika Moshi.


Bonge ya umati pale kaaati, haina majotro.
Mkali wa freestyle,Godzilla, akitambaa na steji.
Zilla in the House.
Mwambaaa... Joh Makini.
Nako2Nako Soldiers wakisababisha usiku huu kwenye tamasha la Fiesta 2011 mjini Moshi katika viwanja vya chuo cha ushirika.


Ngosha ze Don.
All the way from Kenya, Ni Jaggar, mzee wa kigeu geu. 
Ofcoz mnamjua huyu jamaa, ni binamu yako FA.
Kutoka clouds media, Ruben Ndege/Ncha kali (Kushoto) na Dj Bullah kwenye wheels za chuma.
 Anorld Kayanda (Katikati) na raia wengine kutoka Clouds.
Hawa nao na sare zao pia walikuwepo.
Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click 'Post comment'.

No comments:

Post a Comment