Sunday, July 17, 2011

NI USIKU WA MSIMU SERENGETI FIESTA 2011 UNAOENDELEA USIKU HUU KATIKA UWANJA WA SHEIKH AMRI ABEID-MJINI ARUSHA:


Kama kawa kama dawa, nyomi ile ile ndani ya uwanja wa Sheikh Amri Abeid wa mjini Arusha ilijitokeza kwenye tamasha la Fiesta kushuhudia shangwe kibao toka kwa wasanii wa ndani na nje ya Bongo. 


Haina majotrooooo.
Diamond na watu wake.

Madancer wa Diaomond.
Belle 9
Godzilla, Zilla in the house.
Madencer wa THT

Huyu jamaa ni nomaaa kwenye zile sheki sheki.
Ebu cheki alivyoganda

Toka A Town ni Mandojo na Domokaya.

Fid Q

Chidi Beenz
Mwanadada Rachel.



Eenhee...., Tumekubamba hatuja kubamba.
Ngozi za brown hizo.
Upande wa misosi na zile liquor.
Bishoo Mchomvu.
Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click 'Post comment'.

No comments:

Post a Comment