Monday, June 6, 2011

UZINDUZI WA FILAMU YA CHUMO ULIVYOFANA:

 Yusuph Mlela akiwa na Crew ya Steps Entertainment.

 Sista akawabamba baana, ngoja tupige picha kidogo.

 Sana tu.

 Steve Kanumba akisalimiana na Mr John Riber, Producer wa filamu hiyo ya Chumo ambaye pia ni Director wa filamu za Neria na Yellow Card.

 Richard, Jirad, Cheni na JB.

 Cloud (kushoto) na Director mashughuli nchini, George Tyson.

 Jokate kazini, moja ya vipande vinavyopatikana katika muvi hiyo.

 Raia macho kwenye Big Sreen kama kawaida, wakitazama muvi hiyo.

 Raia kibao walijitokeza kwenye uzinduzi huo.
 Kwa umakiiiiiiiini wakifuatilia kinachoendelea.


 Pale kwa nje kidogo hivi, shangwe kibao zikiendelea

Mashosti, madada, mamodo. Wacha wee.

Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click 'Post comment'.


No comments:

Post a Comment