Wednesday, June 8, 2011

STEVEN KANUMBA VS RAMSEY NOUAH (PART 4):

 Umeme unapokatika wakiwa 'Location' hali huwa kama inavyoonekana hapo juu, ni mihayo, hasira, wee acha tu, wanasubiri kudra za mungu tu hapo.

Stori huwa hazikosagi pindi umeme unapokatika, Ramsey akatoa kali kuhusu umeme nchini kwao. Akasema, mbona hapa Bongo kuna afadhali, Nigeria huwatunashoot kwa jenereta tu maaana umeme unaweza ukawaka dakika 20 na ukazimika siku 2 bila hata sababu ya msingi na wananchi tumeshazoea, kwa wenye uwezo ni mwendo wa majenereta tu. Alisema Ramsey.

Ramsey na Samm (The Lightman).

 Mayasa Mrisho (Maya) akimpaka make up Ramsey.

Zamu ya Kanumba kung'arishwa.

 Mpango mzima ulibidi ufanyike kwa nje, lakini kutokana na kelele za magari pamoja na watu mpango ukafeli.

 Mpango ukahamia kwa ndani, lakini mambo ni yale yale, kelele za jenereta zikakwamisha ule mpango ikabidi waendeleze stori. Kama kawa kama dawa, that's Bongoland.

 Ikabidi ule mpango uhamie kwenye kukomaa na script sasa.

 Ramsey akijaribu kutamka maneno ya kiswahili yaliyomo katika script.

Kutoka jushoto: Msungu, shoti alietembelea eneo la tukio kwa ajili ya kupiga picha na Ramsey, Ally Yakuti (Mwandishi wa movie hiyo ambaye pia ndio mshindi wa tunzo ya mwandishi bora wa sript zilizotolewa na Film Central Company), Samm (Mzee wa light).

Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click 'Post comment'.


No comments:

Post a Comment