Thursday, June 9, 2011

AMA KWELI KILA SHETANI NA MBUYU WAKE:

Kwa nchi kama Tanzania ni dhambi kubwa sana kuonekana unasupport kwa namna yoyote ile dawa za kulevya kama vile bangi, mirungi, mihadarati, coccaine, heroein na vitu vingine vingi vifananavyo na hivyo kufikia hata kuchoma mashamba ya wanaolima mazao yenye asili hiyo, lakini kwa baadhi ya nchi zingine mambo ni tofauti. T shirts za mastaa hao wa mziki wa Reggae, Ragga na Dancehall wenye asili ya Jamaica zimeandikwa SMOKE WEED LIVE LONGER (Vuta bangi uishi maisha marefu), hakika si jambo jema kwa Bongo kuonenakana umevaa hivi na kama sheria itachukua mkondo wake unaweza ukajikuta unaozea jela, kaa chonjo kijana wa Bongo. Don't try this anyhow, anywhere. Kweli kila shetani na mbuyu wake.

Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click 'Post comment'.

1 comment:

  1. tutaishi sana tu na hii mibangi yetu
    mibangi tunayovuta ni mwanzo wa kulanduka
    kumbe hongeza life span pia ok we need data meen.

    ReplyDelete