Thursday, June 23, 2011

AFRICA MAGIC YAZINDUA CHANELI YA KISWAHILI; "AFRICA MAGIC SWAHIL":

MNET Africa kupitia chaneli yake ya Afica Magic ime-extend wigo wa idadi ya chaneli zake baada ya  kuzindua chaneli mpya ya kiswahili 'Africa Magic Swahil' jana katika ukumbi wa hoteli ya MovenPick. Chaneli hiyo mpya itaonekana kwenye chaneli 127 ya DSTV na itaanza kurushwa hewani rasmi Julai 1 2011 ambapo filamu za kiswahili (Bongo Movies) pamoja na vipindi mbalimbali vya kiswahili vitapata kuonekana. Aidha, chaneli hiyo pia itaonekana katika nchi rafiki zinazozungumza lugha ya kiswahili ikiwemo Kenya, Uganda, Burundi, Rwanda, Ethiopia, Congo na DRC.

Khanga zilitawala katika uzinduzi huo, Kibongo bongo zaidi.



Mkurugenzi mtendaji wa MNET Africa, Bi Biola Arabi, akizungumza katika uzinduzi wa chaneli hiyo ya kiswahili ya Africa Magic Swahil, jana  katika hoteli ya MovenPick jijini Dar es salaam.

Monalisa na mamaye Natasha watakosaje...???
Vincent 'Ray' Kigosi makiiiiiiiini akisikiliza yaliyokuwa yakiendelea. Kama kawa kama dawa. Sana tu baaabu.

Steven Kanumba 'The Great' alipata nafasi ya kuzungumza na hapa akifafanua jambo fulani.



Steve Nyerere na mkoba wake, watakusomaje mwanawane.

Cheni Madini hayooooo cheni.

Aunty 'Gwantwa' Ezekiel naye alikuwepo.

Wadada sasa, wee niache tu, Nisahauliwe.

Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click 'Post comment'.

No comments:

Post a Comment