Thursday, June 23, 2011

VIINGILIO KAGAME CASTLE CUP 2011 VYATAJWA:

Michuano ya Kagame Castle Cup 2011 inaanza kesho kutwa (Juni 25 mwaka huu) ambapo viingilio kwa kituo cha Dar es Salaam vitakuwa VIP A sh. 15,000, VIP B sh.10,000, VIP C sh. 7,000, viti vya rangi ya chungwa sh. 5,000, viti vya bluu sh.3,000 na sh. 2,000 kwa viti vya kijani. Kwa siku ambazo timu za Yanga au Simba hazitacheza kiingilio cha chini kitakuwa sh. 1,000. Habari zaidi Bonyeza Hapa Tanzania Futbol Federation (TFF):

Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click 'Post comment'.

No comments:

Post a Comment