Saturday, May 28, 2011

UHURU WA MAWAZO KATIKA "WAZO LA LEO":

WAZO LA LEO NI MTANDAO MPYA KWA AJILI YA RAIA WOTE KUSEMA CHOCHOTE KILE KINACHOKUBALIKA KATIKA JAMII BILA YA "KUCHAFUA UPEPO" AMA "KUPINDISHA MSUMENO" WENYE MENO MAKALI. JE, UNA WAZO AU JAMBO LAKINI UMEKOSA PA KULISEMEA? KARIBU KATIKA WAZO LA LEO, PAMOJA TUTALIANDIKA NA RAIA WATACHANGIA MADA.
TEMBELEA LEO,TEMBELEA SASA, http://www.wazo.co.nr/

Caris Komba,
MD-Caris Blog.
http://www.caristv.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment